SMART JAY 254

Published on Slideshow
Static slideshow
Download PDF version
Download PDF version
Embed video
Share video
Ask about this video

Scene 1 (0s)

SMART JAY 254. PRESENTS MWAMBIE.

Scene 2 (4s)

Representing from Bungoma ….. Smart jaaay. Ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona . Hivo ndivo nilimpenda kasha nikamchagua , Mwenzangu nikampenda kimapenzi aweze nitenda Kumbe nampenda Yule asiye nipenda.

Scene 3 (32s)

Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu.

Scene 4 (54s)

UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore ..

Scene 5 (1m 16s)

Kunipenda alinipenda kwa sababu ya mali yangu . Nyimbio nzuri akasikiza akajua nina hela , Maneno mazuri akanipa jinsi anavyo nipenda , Kumbe mapenzi yake ni ya kifaurongo ..

Scene 6 (1m 37s)

Niliposota mimi akageuka mnyama . Ananilazimisha mimi nimpe kile nisicho nacho eiya oooh Niliposota mimi akageuka mnyama . Ananilazimisha mimi nimpe kile nisicho nacho eiyaoooh.

Scene 7 (1m 59s)

UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore.

Scene 8 (2m 21s)

Kumbe nilipenda chui aliye valia ngozi ya kondoo , Ama labda nilimpenda fisi nikadh ani nimempata kumbe mimi ndo nimepatwa Eeeeeh . Eyaaaa , ooooh SMART JAY. E iya aaah , oooh , SMART JAY.

Scene 9 (3m 6s)

UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore.