Representing from Bungoma ….. Smart jaaay. Ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona . Hivo ndivo nilimpenda kisha nikamchagua , Mwenzangu nikampenda kimapenzi aweze nitenda Kumbe nampenda Yule asiye nipenda.
Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu Walimwengu nisikizie haya labda mtakua shahidi kwanguu.
UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore ..
Kunipenda alinipenda kwa sababu ya mali yangu . Nyimbio nzuri akasikiza akajua nina hela , Maneno mazuri akanipa jinsi anavyo nipenda , Kumbe mapenzi yake ni ya kifaurongo ..
Niliposota mimi akageuka mnyama . Ananilazimisha mimi nimpe kile nisicho nacho eiya oooh Niliposota mimi akageuka mnyama . Ananilazimisha mimi nimpe kile nisicho nacho eiyaoooh.
UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore.
Kumbe nilipenda chui aliye valia ngozi ya kondoo , Ama labda nilimpenda fisi nikadh ani nimempata kumbe mimi ndo nimepatwa Eeeeeh . Eyaaaa , ooooh SMART JAY. E iya aaah , oooh , SMART JAY.
UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh UKIMPATA MWAMBIE MAPENZI KWANGU NO ,NO , NOOOOOOh Simtaki simhitaji any more more mooooore.