MWAKALUKWA DAY. Karibuni sana.
Maisha ni safari. Hayawi hayawi Hatimaye Yamekua.
Ndoa ni muungano kati ya watu wawili . Tukio la kuanzisha ndoa linaitwa harusi ,.
KAZI IKAANZA YA KUSAKA.
Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema ; Naye ajipatia kibali kwa BWANA..
HONGERA SANA EMANUEL KWA KUJUA KUTUFURAHISHA.
19 TH APRIL 2022 THE JOURNEY BEGAN.
Baraza la wazee wa Maamuzi tulikaa kupatana mahari na Posa tulianzisha.
Kikao kilikuwa kigumu kidogo na kwa kuwa Hakuna Mkate Mgumu mbele ya Chai, Tukapiga bao.
Kitu Cha send of kikaanza.
21-04-2022. Naona kama Maono Kumbe Ndivyo ilivyo.
[Audio] Hii ndio siku ambayo nimewahi kumuona Emmanuel Mwakalukwa akiwa amefurahi.
Asanteni kwa Ukaribisho.
Zab 116:12-14 Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea ? Nitakipokea kikombe cha wokovu ; Na kulitangaza jina la BWANA; Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA, Naam , mbele ya watu wake wote ..
Maandalizi ya Harusi yakaanza.
Keki ikaletwa ukumbi Amaizing Mbugani Ukaandaliwa.
Msosi ulikuwa wa Kinamna Kwenye Simple Party.
Mara Emmanuel Huyo akaingia Kukagua Kambi.
Sherehe I lichua Muda Mfupi tu na kila Mtu aliondoka akisema hajawahi kuona sherehe Nzuri kama hii.
Mara Muha wa watu huyo akaingia.
Nasaka Mke wangu ikaanza , Chezea Mwakalukwa wewe ..
EMMANUEL E. MWALIKWA NA ROSE CHARLES KATABE.
TUNAMSHUKURU MUNGU, WADAU MBALIMBALI KWA KUFANIKISHA HAFLA YETU BWANA MUNGU AWABARIKI..